Soka saa 24!

TBC haina upendeleo wa vyama, nawambieni mwezi ujao studio zitakuwa kama CNN – Waziri Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa Shirika la Habari la Taifa (TBC) halina upendeleo katika kurusha maudhui kwenye jamii.

Waziri Mwakyembe amesema hayo leo Mei 14, 2019 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Sophia Mwakagenda.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW