Habari

TCU yatoa taarifa kwa wanafunzi walioomba kujiunga elimu ya juu

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania,TCU imetangaza udahili wa pili wa waombaji wanaotarajia kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tarehe 10 Oktoba. Hivyo Tume itafungua maombi ya awamu ya 3 kuanzia 18 hadi tarehe 22 Oktoba mwaka huu na sio 18 hadi 18 ya awali.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents