Burudani

Teaser: Hii ndio kazi mpya ya D’Banj aliyomuweka mrembo wa Dj Khaled

D’Banj kutoka Nigeria ameamua kuwaweka tayari mashabiki wake kwa ujio wa kazi yake mpya.

Msanii huyo ambaye pia yupo chini ya lebo ya G.O.O.D Music ya Kanye West, amethibitisha kuwa hivi karibuni ataachia wimbo wake mpya ambapo kwenye video yake amemtumia mrembo wa Marekani, Bernice Burgos ambaye pia ametokea kwenye video ya ‘Do You Mind’ ya Dj Khaled.


D’Banj akiwa na mrembo Bernice Burgos wakati wakishoot video

Kupitia mtanda wa Instagram, muimbaji huyo ameweka kipande kifupi cha video hiyo na kuandika, “#Bewithyou ….Soon ☝??? #KingdonCome.” Wimbo huo umepewa jina la ‘Be With You’. Tazama kionjo hiko hap chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents