Videos

Teaser: Lord Eyes raps about Ommy Dimpoz and Ray C

PFunk aka Majani ametupa sneak preview kwa njia ya video ya ngoma mpya ya Lord Eyes inayopikika katika studio za Bongo Recordz, unaweza kumsikia MC huyu akimtaja Ray C na Ommy Dimpoz kwa hisia sana, inasemekana ngoma hiyo inaweza ikatoka mwishoni mwa wiki hii…check out the video

For more videos kutoka PFunk na Bongo Recordz tembelea YouTube channel yake
http://www.youtube.com/user/majani187

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents