Burudani
Teaser ya wimbo mpya wa Ben Pol ‘Jikubali’
April 30 mwaka huu Ben Pol atazindua single yake mpya, Jikubali. Uzinduzi wa wimbo huo uliotayarishwa na producer Lucci, utafanyika Ambassadors Lounge jijini Dar es Salaam ambapo ataperform live na bendi. Hii ni teaser ya wimbo huo.