Habari
TECNO wazindua duka kubwa la simu Afrika Mashariki (Video)
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Atashasta Nditiye, Jumamosi hii amezindua duka jipya la kisasa la kampuni ya simu za mkononi Tecno Tanzania liitwalo ‘Experience Center’. Ndani ya duka kuna mgahawa ambapo mteja ambaye anaingia kununua bidhaa atakuwa anapata juice pamoja na kahawa bure.