Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Tekno kusaidia wanafunzi na wajasiriamali

By  | 

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno Miles ametangaza kuja na mpango wa kuwasaidia wanafunzi na wajasiriamali wadogo.

Kwa mujibu wa tweet zake msanii huyo ametangaza kiasi cha fedha cha nchi hiyo, naira milioni 5, kwa awamu ya kwanza kusaidia wajasiliamali kuinua mitaji yao na wanafunzi kuwalipia ada ya shule.

 

Pia ameaidi kutoa kiasi cha N 100k kwa wanafunzi watano wenye uwezo zaidi, vile vile ameiadi  kiasi cha N200k kusaidia Dr Dolnad Nwosu kutibu ugonjwa wa kansa (pichani juu).

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW