Michezo

Teknolojia hiyo ya video (VAR) nisalama zaidi- FIFA

Mfumo wa teknolojia ya Video inayoendelea kutumika kwa sasa katika mashindano ya mabara huko nchini Urusi umeonekana kuanza kulalamikiwa na wadau wa soka pamoja na wachezaji hasa pale timu inapopata goli na kukataliwa.

Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu duniani FIFA limetetea mfumo huo wa teknolojia hiyo ya video (VAR) uliobuniwa kuwasaidia waamuzi kutoa maamuzi sahihi kuwa teknolojia hiyo itafaa sana katika mchezo wa mpira wa miguu siku za mbeleni

Teknolojia hiyo inakusudiwa kuanza kutumika rasmi katika fainali za michuano ya kombe la dunia ya mwaka 2018 ambazo pia zitachezwa nchini Urusi.

Namna ya Video teknolojiĀ (VAR) inavyo fanyakazi

Kwa wa maelezo yaliyotolewa na FIFA katika matukio matano yaliyotokea kwenye michuano ya kombe la mabara yakaamuliwa na teknolojia hiyo imeonyesha manne ni ya kuzidi na moja ni la mchezaji kushika mpira.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents