Habari

TEMESA watao taarifa rasmi kuhusu kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere

Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya kisiwa cha Ukala mkoani Mwanza na Bugorara katika ziwa Victoria kimezama kikiwa na abiria, bado haijaelezwa idadi kamili ya abiria waliokuwemo kwenye kivuko hicho

Taarifa kutoka TEMESA juu ya ajali iliyotokea Ziwa Victoria leo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents