Michezo

TFF Mpya: Mechi za Azam FC vs Simba, Yanga kupigwa Chamazi

Mechi za Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga dhidi ya Azam FC zimepelekwa Azam Complex, Chamazi ambapo ndiyo uwanja wa nyumbani wa klabu ya Azam FC.
Azam Complex
TFF imetangaza kwenye ratiba mpya kuwa michezo ya Simba na Yanga dhidi ya Azam FC, kuanzia sasa itachezwa katika uwanja wa Azam Complex tofauti na awali ambapo mechi hizo zilikuwa zinachezwa uwanja wa Taifa ambapo Shirikisho la Soka nchini (TFF)  lilidai kuwa ni kutokana na ukubwa wa mechi.

Safari hii, Azam FC itaikaribisha Klabu ya Simba, Jumamosi hii ya septemba 9 mwaka huu mechi ya mzunguuko wa kwanza wa ligi kuu na baadae kuvaana na Yanga Jumamosi ya Tarehe 29 Desemba kunako dimba la Chamazi Complex .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents