Michezo

TFF wasaini mkataba mnono wa mamilioni

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kuingia mkataba mkataba wa miaka miwili na kampuni ya vifaa vya michezo ya Macron.

Rais wa TFF, Wallace Karia, kulia kwenye picha akikabidhiana mkataba na Viongozi wa Kampuni ya Macron.

Kwenye mkataba huo Macron itakuwa ikitengeneza jezi kwa ajili ya timu ya wakubwa, Taifa Stars na zile za wanawake pamoja na vijana.

Akitaja kiasi cha fedha walichopata kwenye mkataba huo, Rais wa TFF, Wallace Karia amesema mkataba huo utagharimu kitita cha Tsh milioni 800 kwa miaka hiyo miwili.

Karia amesema kampuni hiyo itakuwa ikiwatengenezea vifaa mbalimbali vya michezo ikiwemo jezi za timu za mpira wa miguu za taifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents