Michezo

TFF yaingia mkataba wa mamilioni na KCB Bank (Picha)

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ‘TFF’ limeingia mkataba wa mwaka mmoja na Bank ya KCB wenye gharama ya  shilingi za kitanzania 325,000,000.

Mapema hii leo rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia ameingia makubaliano na Bank hiyo ya Kenya ya kuidhamini Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mkataba wa mwaka mmoja wenyethamani ya milioni 325,000,000.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents