Burudani

The Cartes wanyakuwa tuzo ya British (Video)

Jay Z na Beyonce wamefanikiwa kuondoka na tuzo za kundi bora la Kimataifa kupitia tuzo za British ambazo hutolewa kwa kuheshimu mchango wa sanaa Katika jamii.

The Carter’s hawakufanikiwa kutokea katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika jumatano katika uwanja wa O2 Arena jijini London hivyo wapendanao hao walituma video yao ya pamoja wakionekana kuwashukuru waandaaji wa tuzo hizo kwa heshima hiyo kubwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents