Burudani

The Game atoa povu hili baada ya kudaiwa kumpa mimba binti wa miaka 15

Rapper The Game ameamua kutoka povu baada ya vyombo vya habari pamoja na mitandao mbalimbali kuripori taarifa zake za kumpa ujauzito binti wa miaka 15.

Akiongea na mtandao wa Complex, msanii huyo amesema kuwa taarifa hizo sio za kweli zimetengenezwa na mtoto huyo hajawahi wala kuonana naye wala kuonana naye.

“This story is a lie made up by a child whom I’ve never met nor talked to in my life. I wish big media outlets would stop giving inaccurate news & liars a platform to tarnish their brand & make them look like the Enquirer.”

The Game hakuishia hapo kupinga uvumi huo, pia ametumia mtandao wake wa Instagram kuonyesha kuwa amekasirishwa na taarifa hizo zilizosambazwa.

Kupitia mtandao huo rapper huyo ameandika, “Not here to entertain lies or felonious stories. Laughing at how lame some people are. Stalking others lives, fabricating stories to look like fools in the end. & here I sit……. Focused on my soul, my craft & my children.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents