Burudani
The Hobbit: An Unexpected Journey yaongoza orodha ya filamu zenye downloads nyingi haramu (pirates)
Mtandao wa TorrentFreak umetoa orodha ya filamu za mwaka 2013 zilizopata downloads nyingi zaidi haramu (pirates). Orodha hiyo imeongozwa na filamu “The Hobbit: An Unexpected Journey” ambayo ilipakuliwa mara 8.4.
Hii ndo list nzima (10 most pirated movies)
The Hobbit: An Unexpected Journey: 8.4 million downloads
Django Unchained: 8.1 million downloads
Fast and Furious 6: 7.9 million downloads
Iron Man 3: 7.6 million downloads
Silver Linings Playbook: 7.5 million downloads
Star Trek Into Darkness: 7.4 million downloads
Gangster Squad: 7.2 million downloads
Now You See Me: 7.0 million downloads
The Hangover Part 3: 6.9 million downloads
World War Z: 6.7 million downloads