Habari

The Return of Backstreet Boys: Wanakuja na albam mpya

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa Kundi la Pop la Backstreet Boys lenye umri wa miaka 20 katika muziki, hatimaye wametangaza kurudi tena na albam yao mpya mwaka huu.

backstreet-boys

Backstreet boys ambao walishine sana miaka ya 90 wanategemea kutoa album yao mpya na ya 8 inayokwenda kwa jina la ‘In The World Like This’ June 25 mwaka huu.

Members wanaounda kundi hilo kwa sasa ndio wale wale watano waliokuwepo wakati wanalianzisha mwaka 1993 ambao ni A. J. McLean, Howie Dorough, Nick Carter, Kevin Richardson, na Brian Littrell. Kevin Richardson alijitoa kwenye kundi mwaka 2006 baada ya tour yao ya ‘Never Gone’ na kurudi tena kundini mwaka jana 2012.

Hii ni Top 5 ya hit songs za Backstreet Boys walizowahi kutoa:
1.I Want It That Way (1999)
2. Larger Than Life (1999)
3. Show Me the Meaning of Being Lonely (1999)
4. As Long As You Love Me (1997)
5. Shape Of My Heart (2000)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents