Burudani

The Rock ampa shavu nono rapper maarufu wa kike kutoka Kenya, Stella Mwangi (+video)

Muigizaji anayeingiza mkwanja mrefu kwa sasa duniani, The Rock ametoa shavu nono kwa rapper wa kike kutoka Kenya, Stella Mwangi a.k.a STL kwa kutumia ngoma yake ya No Games kama soundtrack ya episode mpya ya Ballers HBO.

The Rock amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Oh Lord look what I got though
No Dwayne but I Rock though! Shout to bad ass rapper @stellamwangi for the dope lyrics – clearly I’m biased“.

Episode hiyo tayari imeanza kuoneshwa kupitia Cable ya HBO na bado haijajulikana ni kiasi gani amelipwa kwenye mkataba wake, itazame ngoma hiyo hapa chini

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents