Burudani ya Michezo Live

The Sound bite: Wema Sepetu akielezea kwanini anapenda Instagram kuliko Twitter na Facebook

The Sound bite ni kitu kipya hapa Bongo5. Utakuwa ukisikiliza sauti za maceleb mbalimbali wa Tanzania wakizungumza kwa ufupi kuhusu masuala mbalimbali katika maisha yao ya kawaida, wanachopenda, wanachosikiliza, wanachochukia na mambo mengine ya kawaida katika maisha yao. Msikilize hapa Wema Sepetu akielezea kwanini anapenda zaidi kutumia mtandao wa kijamii wa Instagram kuliko Twitter na Facebook.

d1c64406b95c11e280ad22000a1fbe2f_7

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW