Picha

‘The Sun’ lakiuka amri ya Malkia, lachapisha picha za utupu za Prince Harry


Familia ya kifalme ya Uingereza imeyaomba kama sio kuyapiga biti magazeti ya Uingereza kutochapicha picha za aibu za Prince Harry. Magazeti mengi ya Uingereza yametii amri hiyo, lakini ni moja tu lililoenda tofauti, The Sun.
Gazeti hilo limeandika:
”TODAY The Sun is publishing the naked Prince Harry party pictures our readers have been prevented from seeing in print.
We are doing so despite warnings from the Royal Family’s lawyers — and we’ll explain why.
Before we do, let’s be clear on one thing.
The Sun is NOT making any moral judgement about Harry’s nude frolics with girls in a Las Vegas hotel. Far from it. He often sails close to the wind for a Royal — but he’s 27, single and a soldier. We like him.
We are publishing the photos because we think Sun readers have a right to see them.
The reasons for that go beyond this one story.”
Limeongeza kuwa picha hizo tayari zilishaonekana kwenye mtandao siku tatu zilizopita lakini wanasheria wa Ikulu waliyazuia magazeti ya Uingereza kutozionesha picha hizo kwakuwa ni sawa na kuingilia uhuru wa Prince Harry.
Limesema hata hivyo picha hizo zilizooneshwa kwa mara ya kwanza na mtandao wa Marekani wa TMZ, zinaweza kuonekana na mtu yoyote katika asilimia 77 za makazi ya nchini Uingereza yaliyo na internet ndani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents