Michezo

The Tanzanite tayari kuivaa Nigeria (Picha)

Timu ya Taifa ya Tanzania ya wasichana ya ‘The Tanzanite’ wakiwa kwenye mazoezi uwanja wa Karume uliyopo Ilala Jijini Dar es salaam wakijiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia.

The Tanzanite inatarajia kujitupa dimbani kuwakabili Nigeria Septemba 17 nchini Nigeria kabla ya mchezo wa marudiano mwezi huo huo mwaka huu.

Zifuatazo ni picha zinazoonyesha wachezaji hao wakiwa katika mazoezi uwanja wa Karume

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents