Michezo

Thomas Tuchel kocha mpya Paris Saint-Germain 

Matajiri wa Ufaransa klabu ya Paris Saint-Germain imethibitisha kumteuwa, Thomas Tuchel kuwa kocha mpya wa timu hiyo.

Mjerumani huyo alikuwa nje ya uwanja tangu aondoke ndani ya klabu ya Borussia Dortmund msimu uliyopita wa majira ya joto.

Taarifa kamili kutoka ndani ya klabu hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter uethibitisha , Tuchel kusaini mkataba wa miaka miwili ndani ya Paris na kchukua mikoba ya Unai Emery.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents