Picha

#ThrowbackThursday: Mwana FA, Fid Q, Prof J, TID, Ray C na Q-Chief (2006)

Ukirudisha kumbukumbu mwaka 2006, Mwana FA, Fid Q na Prof J walikuwa ni kama dream team ya Hip Hop Tanzania wakati TID, Ray C na Q-Chief walikuwa dream team ya upande wa uimbaji. Katika Throwback Thursday leo tumekutana na picha hizi zilizokuwa kwenye maktaba yetu.

Fid Q, Mwana FA na Profesa Jay
Fid Q, Mwana FA na Profesa Jay

tid_ray-c

Ukiangalia dream teams hizo, unaweza kuwafananisha na wasanii gani wa sasa?

Don’t forget to follow us on http://instagram.com/bongofive

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents