Burudani

T.I Kurudi jela ndani ya wiki mbili

Rapper na Superstar T.I anayejulikana na wengi karibu yake kama Tip ameamriwa na jaji kurudi jela kwa muda wa miezi 11.

 

Haya yametokea baada ya msanii huyo kutokufuata maagizo aliyopea na koti alipoahiwa chini ya miezi sita iliyopita. Tip alisimamishwa mnamo mwezi Septemba akiwa na mke wake Tameka na polisi wa barabarani alipopatikana na hatia ya kuendesha gari akiwa mlevi pamoja na kuwa na madawa ya kulevya aina ya ecstacy.codaine na bangi.

Tip alisikika akimsihi jaji kutomrudisha kizimbani lakini yote hayo yaliangukia kiziwi.

Rapper huyo anatakiwa kuanza sentensi yake ndani ya wiki mbili.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents