Burudani

TID amvisha pete mchumba

Image
Katika usiku ya wapendanao maarufu kama ‘Valentine Day’ yule jamaaa anayemiliki bendi ya TOP
BAND anayetambulika kama TID aliweza kuweka wazi kabisaa lile penzi
lake alilokuwa nalo kwa binti mmoja hivi anayefahamika kwa jina la
“KINANA”


Image
Ilikuwa ni wakati akitoa burudani kama kawaida yake ya kila
jumapili na ndipo alipowashangaza mashabiki wake kwa kumvalisha pete ya
uchumba binti huyo na kuonyesha kwamba yeye aliwaona wengi sana na
warembo kila kukicha lakini hatimae moyo wake uliona zaidi kwa binti
KINANA,. Mh! Wadau hayahaya pete ndo hiyoo tumeiona sasa tunangojea
harusi je itakuwa lini na wakati gani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents