Burudani

TID apata show ya Uingereza siku ya tuzo za Kili, atatumbuiza na Jaguar

TID hatokuwa na usiku mbaya June 8 wakati tuzo za Kili zitakapokuwa zikitolewa kwakuwa atakuwa mbali akipiga show ya kimataifa na hitmaker wa Kigeugeu, Jaguar wa nchini Kenya.

581935_10151686509932642_886089228_n

Hivi karibuni TID aliwalalamikia waandaji wa tuzo za Kili kwa kutoujumuisha wimbo wake kwenye tuzo za mwaka huu. Pia wiki iliyopita, alitangaza kujitoa kwenye list ya wasanii watakaomsindikiza Lady Jaydee kwenye show yake ya May 31.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents