Habari

TID kufanya collabo na msanii mrembo wa Ethiopia Azeb Wendwosen

Khalid Mohamed aka TID (Top in Dar) ametangaza kufanya collabo na msanii mrembo wa Ethiopia aitwaye Azeb Wendwosen.

tid3

“She is called Azeb an Ethiopian Artist who is duin a single with me currently…” TID mnyama ameandika kupitia Instagram na kuweka picha ya msanii huyo mrembo kwelikweli.

Azeb4

Baada ya kumtafuta kwa simu kuzungumiza swala hilo big boss huyo wa Top Band amesema atatoa taarifa kamili juu ya collabo hiyo soon.

Tazama picha na video za mrembo huyo kutoka Addis Ababa, Ethiopia

Azeb3

Azeb5

Azeb1

Azeb2

Azeb6

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents