Burudani

TID kutumbuiza Muscat kwenye Eid El Fitri

Mnyama TID amepata shavu la kwenda kupiga show mjini Muscat katika sikukuu ya Eid el Fitri mwanzoni mwa mwezi ujao.

1070046_10151739471033749_1139542080_n

Akionesha furaha yake baada ya kupata mchongo huo, TID ameshare picha baada ya kusaini mkataba wa show.

“For the first time in bongo flava history T.I.D and TopBand to perfom in muscat on Eid el Fitri as am signing the contract with president Suleiman….haya wanaona gere,” ameandika.

Wakati huo huo, TID anatarajia kuachia ngoma mpya hivi karibuni iitwayo ‘Gere’ ambayo amemshirikisha mwanadada Maunda Zorro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents