Timbulo kujitosa kwenye Filamu Bongo


Msanii chipukizi kwenye game Ally Timbulo ‘Timbulo’ anatarajiakuachia bonge la filamulitakalo kwenda kwa jina
la Domozege.

Alisema filamu hiyo anatarajia kuifanya tofauti sana kwa kuwashirikisha kundi la Off Side Trick wakiwemo Lil Gheto, Mudi, Z Anton, Sharo Milonea na wasanii kibao wa tasnia yake.

Pia katika masuala ya muziki alifikiria kutoa wimbo kila baada ya mwaka, lakini kutokana na kubadilika kwa muziki wa bongo fleva, anatarajia kutoa wimbo mara kwa mara.

Miongoni mwa wimbo ambao anajipanga kuachia hivi karibuni ni ‘Delila na Samson’ na ‘Rafiki ya upendo’, mmoja wapo kati ya hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents