Habari

Timu ya Liverpool yawa kinara wa Heineken Foosball – Rose Garden

Timu ya mchezo wa Foosball ya Liverpool jana iliibuka mshindi wa jumla wa shindano la mchezo huo katika muendelezo ya mchezo wa Heineken Foosball unaoendelea katika baa mbali mbali za jiji la Dar-es-Salaam.

GRM_5683

Shindano hilo linaendelea leo jioni katika baa ya Uhuru Pea, iliyopo Kinondoni vijana.

 Washindi timu Liverpool wakisimama na Meneja Masoko wa Heineken Tanzania Caroline Kakwezi

Washindi timu Liverpool wakisimama na Meneja Masoko wa Heineken Tanzania Caroline Kakwezi
Vanessa Mdee na Salama Jabir wakihojiwa baada yakucheza mchezo wa foosball baa ya Rose Garden jijini Dar es Salaam
Vanessa Mdee na Salama Jabir wakihojiwa baada yakucheza mchezo wa foosball baa ya Rose Garden jijini Dar es Salaam

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents