Michezo

Timu ya Taifa ya Riadha inayodhaminiwa na DStv yaagwa kuelekea Denmark, Waziri Mwakyembe awashushia baraka (+video)

Timu ya Taifa ya riadha ambayo inadhaminiwa na DStv jana imeagwa jana Machi 27, 2019 kuelekea nchini Denmark kwenye michuano ya kimataifa ya mbio za nyika.

Akiikabidhi bendera timu hiyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe amewaasa wanariadha hao 20 wakapambane kwani Taifa lipo pamoja nao katika maombi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents