Michezo

Timu ya Taifa ya Uholanzi hati hati kukosa michuano ya mataifa ya Ulaya mwaka 2016

Timu ya taifa ya Uholanzi imepoteza kabisa matumaini ya kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya kwa mwaka 2016 baada ya kipigo kikali cha goli 3-0 kutoka kwa timu ya Uturuki.

Uholanzi

Mechi nyingine za kundi hilo ni Iceland ambao wamejihakikishia nafasi ya kucheza michuano hiyo kwa mara ya kwanza baada ya kupata pointi waliyoihitaji mbele ya Kazakhstan. Jamhuri ya Czech pia imefuzu baada kuifunga Latvia kwa goli 2-1.

Van P

Nafasi ambayo ya pekee imebaki kwa Timu ya taifa ya Uholanzi ni kumaliza nafasi ya tatu kwenye kundi ili kucheza mechi ya ‘play off’ kutafuta nafasi ya kufuzu kusonga mbele.

Msimamo wa kundi hilo ulivyo sasa:

Holand

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents