Burudani

Tiwa Savage afanya kolabo na Awilo Longoma

Diva wa muziki wa Nigeria, Tiwa Savage ameamua mwaka 2017 kufanya kolabo na wasanii wakongwe kwenye muziki.

Hitmaker huyo wa Rewind, amethibitisha kuja na kolabo yake aliyomshirikisha msanii was muziki wa dansi kutoka Congo, Awilo Longomba.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha kadhaa akiwa studio na Awilo, “Coming soon @awilolongomba such a honor ???????????? #Hello’17,” ameandika kwenye picha moja aliyoiweka katika mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents