Mitindo

Tokelezea na kofia janja za Turbans katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani

Katika kipindi hiki cha Ramadhani kofia aina ya Turbans ni moja ya fasheni bomba zaidi kuzitinga kwa wewe mwanadada. Karibu tujuzani kuhusu mitindo.

Kofia aina ya Turbans ni moja ya kofia zinazovaliwa sana kwa kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na watu wa jinsia ya kike.


Kwa taifa la watu kutoka nchin India, wanaume pia wanavaa kofia hizi.Turbans huwa na material ya pamba na mpira kiasi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents