Habari

Too Bad: Marya wa Kenya ashambuliwa na mashabiki wake Twitter baada ya kunenepa mno

Hivi karibuni beautiful Marya wa Ogopa Deejays Kenya amepata changamoto kutoka kwa mashabiki wake wa Twitter, waliomshambulia kuhusiana na kuongezeka kwake mwili.

marya kenya

Mabadiliko hayo yalifanya mashabiki wake wa Kenya waanze kujiuliza maswali mengi ikiwa ni pamoja na kuhisi huenda hit maker huyo wa “Shika Simu” ana ujauzito kitu ambacho Mayra alikanusha.

Mashambulizi haya ya mashabiki wanaoweza kumtia mtu hasira kwa sekunde kutokana na maneno yao ya kejeli, yalianza baada ya mtu mmoja kuweka picha ya Marya anayoonekana kaongezeka mwili na kuhoji nini kimempata mrembo huyu.

Soma jinsi mashabiki hao walivyomshambulia Marya kwa tweet za kejeli:

-That pic of Marya…damn!! That’s what happens when you let yourself grow big.The fat just creeps up on you next thing you know BOOM! Gym

-How did Marya (ogopa deejays) change? She doesn’t even look the same no more

-Marya FEAT. Nonini and Kalekye. The F is silent!

-I guess Marya hakushika simu because she was busy eating..

-Maybe Marya’s beer belly is making money and you’re just here tweeting.

-Marya looks like she’s eaten Kalekye.

-EEK! Her face is on steroids!

-Eish..!!! What the freak happened to Marya?

-If you listen to Marya’s vocals back then and now you’ll admit she has grown physically

-Fat jokes about Marya shan’t be taken lightly!

-Me: How much for a kilo of fat? Marya : Why waste you money? I get it freely!!

-Kenyan music industry is growing,,,,, but only if you look at Marya

-Eat a waiter: marya took madtraxx‘s advice literally… “ita weight aaaa ita weight a!!“””

-“Muini ucio anorete uguo niki?” “Nikunyua maguta Marya metagwo Golden Fry.” HAHAHA!

-Wa! Wa! Wa! Marya is swollen Jeez. Linda Nyongweso you have no competition.

-*Sauti sol voice* Marya wangu weee zawadi nono toka mbinguni
all I like about Marya is her behind, literally in the past

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents