Habari

Top C kuvunja ukimya kwa kuachia video mpya wiki ijayo

Baada ya kimya cha muda mrefu, msanii aliyewahi kuhit na wimbo Lofa, Top C anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, Wapi Ulipo. Top C kwa sasa yupo nchini Kenya akiwa chini ya CandynCandy Records.

1094843_649608568384532_939719862_n

Candy n Candy wametangaza ujio mpya wa Top C kupitia Twitter.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents