Michezo

Toto Africans ya itibulia Simba SC mbio za ubingwa

Klabu ya Toto Africans kutoka Mwanza, imetibua mipango ya wekundu wa Msimbazi Simba Sport klabu kurejea kileleni mwa ligi kuu Tanzania.

IMG_8366

Baada ya kuwachapa kwa bao 1-0 katika mchezo ulichezwa kwenye uwanjwa wa taifa Jijini ya Tanzania, Dar es Salaam Bao lililopeleka simanzi Msimbazi lilifungwa Dakika ya 20 ya mchezo na mchezaji Waziri Shentembo kwa Shuti kali lililopigwa toka umbali wa Mita 25.

Katika mchezo huu Kocha wa Simba Jackson Mayanja, na beki mahiri wa kikosi hicho Hassan Kessy walilabwa kadi nyekundu.
Matokeo haya yamewaacha Simba Nafasi ya Pili wakiwa na pointi 57 kwa michezo 25 huku Yanga wakiwa kileleni wakiwa na pointi 59 kwa michezo 24. Huku Azam Fc wapo nafasi ya 3 wakiwa na pointi 55 kwa mechi 24.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents