Siasa

Tovuti ya Kikwete 2010

www.kikwete2010.co.tz tembelea tovuti hii maalumu ya Mgombea Uraisi na Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM mwaka 2010

 

upate habari mbalimbali kama:

  • Wasifu wa Wagombea – Mhe. Jakaya M. Kikwete na Dr. Mohammed Gharib Bilal.
  • Mafanikio katika sekta mbalimbali.
  • Sera na Malengo 2010 – 2015.
  • Ratiba za kampeni.
  • Hotuba maalumu.
  • Matoleo ya Habari.
  • Video na picha.
  • Mitandao ya Facebook,Twitter na Youtube.

Kupitia tovuti hii na mitandao yake utaweza kupata taarifa mbalimbali na kutoa maoni yako.

“PAMOJA TUZIDI KUSONGA MBELE”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents