Burudani

T-Pain, Mims and Gyptian in Bongo

 

Katika kile kinachoonekana kuwa Dar-Es-Salaam ni mji wa maraha tarehe 27 ya mwezi huu Dar-es-salaam kutawaka moto kwani tamasha linalofuata litamaliza kiu ya burudani ya muziki kwa mashabiki wa wasanii na muziki wa nje.

 

Bongo5 inapenda kukuthibitishia kuwa wasanii T-Pain, Elephant Man, Gyptian pamoja na Mims watakuwa Dar-Es-salaam katika shoo ya nguvu inayoenda kwa jina la Str8 Festival Intercollege Special 2010.

Shoo hiyo inategemewa kufanyika tarehe 27 ya mwezi huu wa kumi na moja katika viwanja vya posta kijitonyama.

Bongo5 itakuwa sambamba nawe katika kukupa mchakato wa tamasha hilo la muziki.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents