Habari

Trafiki wa kike agongwa na gari eneo la Bamaga (Dar) na kufa (disturbing pics inside)

Trafiki mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Elikiza, muda amegongwa na gari aina ya VX ambayo haikujulikana namba na kufa papo hapo wakati akiongoza magari eneo la mataa ya Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopatikana eneo la tukio zinadai kuwa Trafiki huyo alikuwa akiongoza msafara na baada ya msafara huo, aliruhusu magari mengine yaendelee na safari ndipo ghafla gari lilipotoka upande wa pili na kumgonga. Picha zaidi ndani na tunaomba radhi kwakuwa ni mbaya. (Source: Global Publishers).

TRAFIKI1

TRAFIKI2

TRAFIKI3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents