BurudaniUncategorized

Trailer ya Documentary ya maisha ya Whitney Houston imetoka (+Video)

 

Trailer ya Documentary ya maisha ya aliyekuwa mwanamuziki nguli wa muziki wa Pop duniani, Whitney Houston inayoitwa ‘Can I Be Me‘ imetoka.

Tokeo la picha la whitney houston
Whitney Houston

Documentary hiyo inayoonesha upande tofauti wa maisha ya mtu maarufu kama yeye alivyokuwa enzi za uhai wake.

Watu wa karibu na Whitney wamesema msemo wake maarufu aliokuwa anapenda kuutumia wa  ‘Can I be me? ndio ilikuwa idea nzima ya kutengeneza Documentary hiyo pamoja na kutumia maneno hayo kwenye title.

Documentary ya Can I Be Me ilioneshwa kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la Tribeca Film Festival na itatoka rasmi Agosti 26 mwaka huu .

https://youtu.be/l10DRf4A2so

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents