Michezo

Hii ni trailer ya movie ya Cristiano Ronaldo inayotoka mwezi 11

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anatarajia kutoa movie yake November 9 mwaka huu aliyofanya na kampuni ya Universal Studios. Movie hii imeandaliwa kwa miezi 14 na itakuwa na video mbalimbali ambazo hazijawahi kuonekana. Kwenye movie hiyo wamehusishwa mama yake Ronaldo, mwanae na marafiki zake.

https://youtu.be/33gTb1v3wds

Ronaldo-Film-Trailer-3

Ronaldo-Poster

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents