Burudani

Tude aja na Bongo Kwai

 

Tude_na_biti

Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya TudeĀ  Thomasi maarufu kama Tude, amesema anatarajia kuitambulisha staili mya ya uimbaji katika fani ya muziki.

Alisema staili hiyo ni mwendelezo wa staili ile iliyoibuka kwa kasi na kutamba kwa wengi ya Kiduku.

 

Alisema kwa yeye anaibolesha zaidi na kuipa jina la Bongo Kwai, kwa sababu ya mchanganyiko wa staili ya Hpouse, Tag ambayo ipo kama Kranka, Mdundiko na Kwaito.

 

Tude_Ngoma_band

tude_wa_ngoma

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents