Mitindo

Tuliwabana Simba SC – Etienne Ndayiragije

Baada ya kupata suluhu ya mabao 2-2 dhidi ya kikoosi cha Simba, Kocha wa Mbao FC, Etienne Ndayiragije amesema, timu yake ilipaswa kupata ushindi katika mchezo wa leo uliyochezwa katika dimba la uwanja wa CCM Kirumba.

Ndayiragije ambaye ni raia wa Burundi, amesema kuwa timu yake ilikosa umakini kidogo kwakuwa walikuwa nanafasi ya kushinda zaidi ya magoli waliyoyapata.

“Tulicheza kwa mipango na kuelewana na kuwabana Simba SC, tulipata nafasi ya kushinda mechi ya leo, lakini haikuwa hivyo”.

Hata hivyo Kocha, Etienne Ndayiragije amewapongeza wachezaji wake kwa kujitahidi na sasa anajipanga kwaajili ya mchezo ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents