Tume ya Uchaguzi taifa ‘NEC’ yakanusha kutangaza tarehe ya Uchaguzi mkuu 2020 – Video

Tume ya Uchaguzi taifa 'NEC' yakanusha kutangaza tarehe ya Uchaguzi mkuu 2020 - Video

Kupitia taarifa ya Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC Dkt. Wilson Charles, ambayo inakanusha ‘uvumi’ unaoendelea juu ya ratiba ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020.

“Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) haijatoa wala kutangaza ratiba yoyote ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020,” –

Chanzo AzamTv,

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW