Habari

Tumesikitishwa sana, Diamond alichelewa masaa matatu kufika Airport Mwanza – ATCL

Kampuni ya ndege Tanzania (ATCL ) limetoa taarifa rasmi kuhusu sakata la Msanii wa muziki,  Diamond Platnumz kuchelewa Airport Jijini Mwanza usiku wa jana.

 

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Diamond alitakiwa kufika saa 11:45 jioni lakini yeye alifika saa 2:15 usiku. Ikiwa tayari ndege ilibakiza dakika 30 kuondoka kuelekea Dar Es Salaam .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents