Habari
Tunaambiwa tutakuwa na taifa ambalo litakuwa halilipi kodi, hata Marekani wanalipa kodi – Mgombea Urais CCM-Dkt.John Magufuli (+Video)
“Tunaambiwa tutakuwa na taifa ambalo litakuwa halilipi kodi, hata Marekani wanalipa kodi, hata makanisani wanalipa..haya mambo ni muhimu katika kuendesha nchi”.Mgombea Urais CCM-Dkt.John Magufuli.