Michezo

TUNAKURAHISISHIA MAISHA: Jishindie simu janja ‘SmartPhone’ na Tablets kutoka Bongo5

SHINDA SIMU! SHINDA TABLETS! SHINDA NA BONGO5. Kwa kupitia Promosheni ya WEKESHA kutoka Kwenye mtandao wa simu za mkononi wa Vodacom Tanzania tutumie screenshot ya meseji uliyotumiwa kutoka Vodacom baada ya kuwekesha asilimia 10 ya bei ya manunuzi ya simu uliyoichagua kuinunua kutoka kwenye maduka ya Vodacom.

Jinsi gani unaweza kujishindia zawadi hizi za simu kutoka Bongo5.? Kwanza bonyeza *149*96# na kisha jisajili na lipia 10% ya simu unayotaka kununua au tembelea kwenye maduka ya vodacom yaliyotapakaa nchi nzima kwa ajili ya kuanza kuwekesha.

Ukishamaliza kulipia asilimia 10%. Vodacom watakutumia ujumbe na huo ujumbe usiufute bali Screenshot na ututumie sisi Bongo5 kwa kutu-tag kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii (Facebook,Twitter na Instagram @bongofive).

Na hapo tutachukua jina lako na kuliingiza kwenye droo ya kushindania Smartphone Bomba na Tablets ambapo kila wiki washindi watakuwa wanatangazwa kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
VODACOM YAJAYO YANAFURAHISHA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents