Burudani

Tunahubiri Injili kupitia muziki- Madam Frola

Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Madam Frola amefunguka kuwa muziki wa Injili umesaidia watu kuokoka.

Akiongea na Bongo5, amesema wanachokifanya wasanii wa Injili ni kumtukuza Mungu na wanatumia Muziki huo kuhubiri Injili.

“Tunacho kifanya sisi ni tunaihubiri Injili kupitia muziki ambao tunafanya na watu wamekuwa wakipokea vizuri sana na wamekuwa wakiokoka, watu wamekuwa wakifarijika kupitia nyimbo zetu,” amesema mwanamuziki huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents