Burudani

Tunda Man amshirikisha tena Alikiba kwenye ngoma mpya

Baada ya kumshirikisha kwenye Msambinungwa, Tunda Man anatarajia kumshirikisha tena Alikiba kwenye ngoma mpya iitwayo ‘Baby’.

11007824_409207422593668_1436118218_n

Tunda ameiambia Bongo5 kuwa wakati anajiandaa kumalizia project yake ya ‘Achana na Mimi’ pia anajipanga kumalizia project hiyo na Alikiba.

“Nina project mpya na Kiba, ngoma inaitwa Baby,” amesema msanii huyo.

“Ni ngoma ambayo imemalizika bado tupo kwenye mipango ya video ndo tunaangalia mazingira, ila kila kitu kipo tayari kuhusu maandalizi. Kuna kazi nyingi na collabo zinakuja kwahiyo mashabiki wa muziki wangu wakae mkao wa kula.”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents