Burudani

Tundaman kusimamia kazi za Chidi Benz, asema ‘nimejipanga kumrudisha Chidi kama zamani’

Tundaman

Kupitia blog yake, muimbaji Khalid Ramadhan Tunda aka Tundaman ametangaza kuwa yeye ndiye msimamizi rasmi wa kazi za rapper Chidi Benzi kwa sasa.

“Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.”

Unaamini Tundaman anaweza kumrudisha Chidi kwenye chart?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents